ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, October 8, 2013

JONAS MKUDE kuanza mazoezi jioni ya leo

Mchezaji Jonas Mkude, leo anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi kujiwinda na mechi dhidi ya Prison.
Hii itakuwa habari njema kwa wapenzi wa Simba ambao walishuhudia timu yao ikitoa sare ya goli1-1 dhidi ya timu ya Ruvu Shooting siku tatu zilizopita

No comments:

Post a Comment