ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, October 22, 2013

Ibrahim Twaha Messi aendelea vizuri

Hali ya mshambuliaji wa Simba Sc, Ibrahim Twaha ( Messi) inaendelea vizuri baada ya kupata majeraha katika mazoezi ambayo timu hiyo ilikuwa inajiandaa kuumana na Timu ya Yanga Sc.

Kinda Hilo lenye miaka 17 aliyesajiliwa kutoka Coastal Union, aliikosa takriban michezo miwili iliyopita ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania bara ambayo timu hiyo iliibuka na points 4 Kati ya 6 ilizokuwa inawania.

No comments:

Post a Comment