ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, October 16, 2013

MOMBEKI KAMILI KUWAVAA YANGA

Mshambuliaji wa timu ya Simba Bentram Mombeki, anaendelea na mazoezi ya kawaida kujiandaa na pambano loinalosubiriwa kwa hamu na watani wa jadi.
Mchezaji huyo mwenye umbile kubwa na mahuti ya nguvu,leo amezidi kuonesha uwezo wa juu katika mazoezi,kiasi cha kuonekana ya kwamba atapata nafasi siku hiyo ya oct 20.

Wakati Mombeki akizidi kukamua mazoezini, beki kiraka tegemeo Miraji Adamu aliyeumia takriban wiki tatu zilizopita,hali yake inazidi kuimarika.

No comments:

Post a Comment