ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, October 6, 2013

Ruvu Shhoting wampa majeuhi mapya JONAS MKUDE

Mechi ya Simba SC na Ruvu Shooting,imempa majeruhi mapya kiungo Jonas Mkude katika kidole chake.

Hii itakuwa mara ya pili kwa ligi ya mwaka huu kiungo huyo kuwa nje kwa siku kadhaa kwa sababu ya majeruhi.

No comments:

Post a Comment