ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, December 6, 2013

SIMBA KUIVAA KMKM DEC 15

Timu ya soka ya Simba Sc, inatarajiwa kucheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya KMKM kabla ya kuwavaa watani wao wa Jadi katika uwanja wa Taifa.


Mechi hiyo itakayochezwa DEC 15, inatarajiwa kuwa Kali na ya kusisimua huku Simba ikitazamiwa kuwa na kikosi cha kwanza kipya, na kocha mpya Zdravko Lugarusic aliyechukuliwa baada ya kusitishiwa mkataba kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo Abdallah King Kibaden.

No comments:

Post a Comment