ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, January 30, 2015

MASHABIKI WAMSHANGAA AKIFENWA

Picha ya mshambuliaji wa AFC Wimbledon, Adebayo Akinfenwa amepiga picha akiwa na kifaru cha kijeshi na kuzua gumzo kubwa.

Mshambuliaji huyo anajulikana kutokana na umbo kubwa amekuwa gumzo na anaitwa kwa jina la Beast.

Wengi wamekuwa wakihoji alifikaje jeshini hadi kupiga picha na kifaru hicho cha kivita lakini mwenye ameonekana kutojali maswali hayo na kukaa kimya.

30Jan2015
Picha ya mshambuliaji wa AFC Wimbledon, Adebayo Akinfenwa amepiga picha akiwa na kifaru cha kijeshi na kuzua gumzo kubwa.

Mshambuliaji huyo anajulikana kutokana na umbo kubwa amekuwa gumzo na anaitwa kwa jina la Beast.

Wengi wamekuwa wakihoji alifikaje jeshini hadi kupiga picha na kifaru hicho cha kivita lakini mwenye ameonekana kutojali maswali hayo na kukaa k

No comments:

Post a Comment