ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, March 3, 2014

MJADALA; JE KUNA MSAIDIZI WA YANGA NDANI YA SIMBA SC?

Kati ya wachezaji ambao walikuwa vipenzi vya mashabiki wa Simba SC basi ni Shomary Kapombe na Emanuel Okwi.

Uondokaji wa wachezaji hawa katika klabu ya Simba hakika unatia shaka, je unafikiri ni nani muhusika mkuu wa mchezo huu ndani ya Simba SC?

No comments:

Post a Comment