ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, March 6, 2014

SIMBA KUWAVAA PRISONS JUMAPILI

Kikosi cha timu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam siku ya jumapili kitawavaa maafande wa jeshi la Prisons wa mkoani mbeya katika uwanja wa sokoine jijini humo.

Prisons ambayo imeonesha uwezo wa hali ya juu katika raundi hii ya pili, inawavaa Simba Sc iliyo katika hali ngumu  huku nayo ikihataji zaidi ushindi kujiweka vizuri katika raundi hii ya lala salama.

No comments:

Post a Comment