ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Saturday, March 8, 2014

SIMBA KUWAVAA PRISONS LEO


Kikosi cha Simba SC chini ya nahodha wake Amry Kiemba, leo kinashuka uwanja wa sokoine hapa jijini Mbeya kuwavaa maafande wa Tanzania Prisons katika mchezo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa jiji hili.

Ikiwa imetoka kuwanyuka maafande wengine wa Ruvu Shooting, Simba inahitaji points 3 muhimu ili kuzidi kujiweka kwenye mazingira mazuri ya angalau kunyakua nafasi mbili za juu ili kuweza kuiwakilisha nchi kwenye michuano ya CAF hapo mwakani.

No comments:

Post a Comment