ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, March 9, 2014

YANGA OUT AFRICA CHAMPIONS LEAGUE

Ikicheza katika uwanja isiokuwa na mashabiki huku ikionesha udhaifu wa safu yao ya ushambuliaji, timu ya Yanga leo imepokea kipigo kitakatifu na kutolewa nje katika michuano ya ligi ya mabingwa afrika.

Huku ikimtegemea kiungo wa ushambuliaji wa pembeni aliyetokea Simba SC, Yanga leo imeonesha kuwa ni dhahiri kuwa wao ni wa hapa hapa.

Kwa matoke hayo timu hiyo ya mitaa ya jangwani inarudi nchini Tanzania kujiandaa na mechi dhidi ya AZAM katika mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment