ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, March 9, 2014

SIMBA YAJITOA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Timu ya Simba sc ya jijini Dar es salaam, leo imelazimishwa sare tasa na timu ya prisons katika uwanja wa sokoine mkoani mbeya.

Ikionesha soka la ufundi wa hali ya juu, Simba ilishindwa kutumia nafasi chache walizotengeneza leo kiasi cha kufanya matokeo yawe 0-0 mpaka mwisho wa mchezo,.

Kwa matokeo hayo Simba inakuwa inajitoa rasmi katika timu zinazosaka ubingwa msimu huu na kuendelea kushika nafasi ya nne katka msimamo wa ligi kuu Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment