Mahakama ya Soka ya Kimataifa CAS, imekubali kupunguza adhabu ya
kumfungia miezi minne Luis Suarez wa Barcelona baada ya kumuuma Giorgio
Chiellini wa Italia wakati wa Kombe la Dunia.
CAS imetoa nafuu kwa Suarez na sasa Barcelona rasmi itamtambulisha
Jumatatu na atapewa ruksa ya kufanya mazoezi na wenzake.
Ingawa Suarez atapewa ruhusa hiyo, lakini hatoruhusiwa kucheza mechi yoyote ya kmashindano katika klabu yake,pia hatoichezea nchi yake mpaka zifikie mechi nane.
No comments:
Post a Comment