ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, August 18, 2014

TETESI: TFF KUONGEZA WACHEZAJI WAWILI ZAIDI WA KIGENI

Huenda shirikisho la mpira wa miguu Tanzania likaongeza idadi ya wachezaji wawili zaidi wa kigeni msimu huu unaoanza Septemba 20,.

Hayo yamezunguzwa na mmoja miongoni mwa wajumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho hilo(hakupenda kutaja jina lake).
Kuongezwa kwa idadi hiyo ya wachezaji wa kigeni,inafuatia ombi maalum la baadhi ya vilabu vitakavyoshiriki ligi kuu Tanzania bara.

Wakati huo huo,ratiba ya ligi kuu Tanzania bara inatarajiwa kutoka kesho ikiwa ni mwezi mmoja kabla ya ligi hiyo kuanza.

No comments:

Post a Comment