ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, February 3, 2015

SIMBA KUTUA TANGA KESHO, KOPUNOVIC ACHEKELEA

Kikosi Cha Simba Sc kikiwa kamili, kesho kinatarajiwa kuingia katika jiji la Tanga tayari kabisa kuivaa coastal Union!

Simba Sc ambayo imekuwa na mwenendo usiyoridhisha msimu huu, inahitaji points 3 muhimu tu ili kujiweka sawa katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara.

Wakati huo huo, kocha wa Simba Sc mserbia Goran Kopunovic, amesema kuwa kikosi chake kinaimarika siku hadi Siku na amewataka wapenzi wa klabu hiyo kuwapa sapoti Ya kutosha!

No comments:

Post a Comment