ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, September 27, 2013

Mrisho Ngassa arejesha milioni 45 za Simba SC

Mchezaji ambaye alihalalishwa kuchezea Yanga na TFF ingawa alisaini Simba pia Mrisho Ngassa, leo mchana ameridisha kiasi cha pesa alichoambiwa alipe na TFF katika ofisi za shirikisho hilo.
Ngassa alirejesha pesa hizo akiwa na wapambe wake kitendo ambacho kinamuacha kuwa huru rasmi baada ya kutumikia adhabu ya mechi 6 pamoja na faini ya milioni 15 zaidi ya pesa alizochukuwa.
Hili ni fundisho kwa wachezaji wa aina kama yake ambao husaini mikataba bila kujua wanafanya nini

No comments:

Post a Comment