ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, December 4, 2013

BEKI TOKA CONGO AOMBA NAFASI SIMBA SC

Beki aliyewahi kucheza pamoja na Victor Costa nyumba anayefahamika kwa jina la Kika M, ameanza trial rasmi ya kujaribu Bahati yake ya kujiunga na Simba.

Kika , mwenye umri wa miaka 22 ameanza mazoezi rasmi Leo chini ya kocha mpya wa Simba Sc, Zdravko Lugarusic akisaidiwa na msaidizi wake Selemani Matola!

No comments:

Post a Comment