ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, December 4, 2013

HUGO AANZA MAZOEZI MEPESI SIMBA SC

Kiungo maridhawa wa Simba Sc, Abdallah Seseme ( Hugo), ameanza mazoezi mepesi tayari kabisa kujiunga na wenzake katika kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara.

Akiongea na blog hii , daktari wa Simba Bw Yassin Gembe, amesema kuwa ameamua kumuanzisha aanze mazoezi ya kukimbia beach , ili mwili wake ukae vizuri zaidi kabla ya kujiunga na wenzake.

Seseme ambaye alikuwa kipenzi cha kocha aliyepita , Patrick Leiwig alikumbwa na mkasa wa kuwa maheruhi kwa nusu msimu yote ya mwaka huu, baada ya kuumia akiwa katika maandalizi ya ligi soka Tanzania bara msimu huu.

No comments:

Post a Comment