ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, December 11, 2013

BREAKING NEWSS, MAPUNDA ASAINI RASMI SIMBA SC

Goli kipa namba moja kwa sasa nchini Tanzania Ivo Mapunda amesaini rasmi Simba Sc

Mapunda ambaye awali alikuwa akiichezea timu ya Gormahia ya Kenya, alipendekezwa na kocha wa sasa wa Simba ambaye naye ametokea Gormahia  kuwa atafaa zaidi kwa timu hiyo.

Wakati huo huo, habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Beki wa kimataifa wa timu ya Kenya na timu ya Gormahia Donald Musoti amesaini rasmi Simba Sc!

No comments:

Post a Comment