ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, December 6, 2013

MTAWALA ASAJILIWA RASMI KUWA WAKILI

KATIBU MKUU WA SIMBA ASAJILIWA RASMI KUWA WAKILI WA KUJITEGEMEA LEO HII


Katibu mkuu wa klabu ya Simba Evadus Mtawala leo hii amesajiliwa rasmi kuwa mwanasheria/WAKILI wa kujitegemea. Mtawala ambaye alisomea masuala ya sheria na katika chuo kikuu cha Mzumbe alipohitimu na kutunukiwa degree ya kwanza ya sheria, baadae akaweka gambani postgraduate ya sheria kutoka Law School of Tanzania. 

Mtawala ambaye ni mmoja ya viongozi vijana wachache katika vilabu vya soka Tanzania ambao shule imelala kichwani, pia ana masters ya business administration kutoka Esami.

Imetolewa kwa Shaffihdauda

No comments:

Post a Comment