ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, December 5, 2013

ISSA RASHID ABADILISHWA NAMBA MSIMBAZI

Beki wa Kushoto wa Simba Sc, Issa Rashid maarufu Kama baba ubaya, amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kocha mpya wa Simba Zdravko Lugarusic kumuhamisha namba kutoka nafasi hiyo mpaka winga ya Kushoto.


Katika mazoezi yanayoendelea kwenye uwanja wa kinesi, kocha huyo raia wa Croatia amegundua kuwa Baba ubaya ana uwezo mkubwa wa kushambulia kuliko kukaba, hivyo anajaribu kumpika kuwa striker ya pembeni , itakayoweza kutoa matunda mazuri hapo baadae.


Wakati Huohuo, makamo mwenyekiti wa zamani wa Simba Sc ambaye pia ni mwanachama wa Klabu hiyo, Jana alihudhuria mazoezi yanayoendelea katika uwanja huo, .

No comments:

Post a Comment