ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Saturday, December 14, 2013

SIMBA KUWAVAA KMKM TAIFA LEO

Timu ya Simba Sc ya jijini Dar es salaam, Leo inatarajia kushuka katika uwanja wa taifa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar.

Simba inayonolewa na kocha mpya raia wa Croatia itutumia mchezo wa Leo ili kuangalia mapungufu yake kabla ya kuvaana na mtani wao Yanga katika mechi nyingine ya ' Bonanza' la hitimisho ya promosheni ya nani mtani jembe.


Ikiwa imewapunguza zaidi wachezaji nane Huku kukiwa bado na upungufu wa wachezaji 4 zaidi , kikosi hicho Leo kinatarajiwa kufanya kazi kubwa ili kuhakikisha kila mchezaji anapata nafasi ya kuweza kumuonesha kocha uwezo wake.

No comments:

Post a Comment