ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, December 3, 2013

SIMBA USO KWA USO NA GORMAHIA MAPINDUZI CUP

Kocha mpya wa Simba Sc Zdravko Lugarusic , ameingia katika mtihani mgumu baada ya timu yake mpya ya Simba kupangwa na timu yake ya zamani ya Gormahia ya Kenya.


Katika michuano hiyo inayotazamiwa kuanza jan 2, timu hiyo ya Mitaa ya Msimbazi pia imepangwa na timu nyingine ngumu kutoka Uganda ya Kcc katika draw iliyopangwa Jana.

Makundi katika michuano hayo ni Kama ifuatavyo

GROUP A
Tusker(Kenya)
Azam(Tanzania)
Yanga(Tanzania)
Zanzibar team


GROUP B
Gormahia(Kenya)
Simba ( Tanzania)
Kcc(Uganda)
Zanzibar team

GROUP C
Mbeya City (Tanzania )
URA (Uganda )
Zanzibar team

Note;

Zanzibar team ni timu itakayotajwa hapo baadae kutoka katika visiwa hivyo.


No comments:

Post a Comment