ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, January 28, 2014

OWINO KURUDISHWA KUNDINI

Beki kisiki wa Simba Sc Joseph Owino anatarajiwa kurudishwa kundini siku chache zijazo baada ya kutokea sintofahamu na kocha mpya wa Simba Sc Zdravko Lugarusic .

Owino ambaye ni kipenzi cha mashabiki wa Simba Sc, aliingia katika mzozo na mwalimu Lugarusic baada ya kutokea kutoelewana baina Yao.

Wakati Huohuo , kikosi cha Wekundu wa Msimbazi ( The Reds) , wameanza mazoezi rasmi Leo baada ya mapumziko ya siku moja .

Katika mazoezi yaliyofanyika Leo katika uwanja wa Kinesi, Simba Sc ilishuhudia urejeo wa kiungo wake maridhawa Jonas Mkude ambaye alikuwa anasumbuliwa na Malaria.

No comments:

Post a Comment