ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, January 30, 2014

SAMATTA MCHEZAJI BORA TP MAZEMBE 2013

Mshambuliaji wa Tp Mazembe Mbwana Ally Samatta amechaguliwa kuwa mwanasoka bora wa Klabu hiyo kwa mwaka 2013.

Samatta maarufu Kama Samagoal, anakuwa mtanzania wa kwanza kuwa mchezaji bora anayechezea nje ya Tanzania.

Kabla ya kujiunga na Tp Mazembe , Mbwana Ally Samatta alikuwa mshambuliaji tegemeo wa Simba Sc na timu ya taifa ya Tanzania.

Hongera Samatta!

No comments:

Post a Comment