Abdallah
King Kibaden alikuwa na idadi ya wachezaji 30 ambao alikuwa anaenda nao
Camp ili kujiandaa na msimu wa ligi kuu Tanzania bara.
Alichagua wachezaji kadhaa kila inapokaribia mechi kwa kuwa alikuwa na machaguzi mengi ya vijana wake,,
Ndani ya uwanja wachezaji wanaocheza ni 11, benchi hawazidi 5, hivyo 11+5=16,
30-16=14, maana yake mara nyingi wachezaji 14 huwa tunakaa nao kule jukwaani,,,
kwa falsafa hii King Kibaden alifanikiwa, alituacha pazuri ingawa hatukuwa na uongozi mzuri,, King Kibaden alifanya Yanga iukimbize mpira kwa macho tu kipindi cha pili katika mchezo wa sare ya kihistoria ya 3-3 wa watani wa jadi,, kwa falsafa ya King alifanikiwa!
Zdravko Logarusic ndiye kocha wa sasa wa Simba SC, moja ya sifa yake kubwa ni kuona mchezaji anacheza kwa idadi sahihi za mechi bila kuchoka,"ndio yeye ni mchezaji, basi lazima acheze" loga anasema.
Baada ya kuambiwa kuwa lazima ahakikishe timu inachukuwa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara au ahakikishe timu lazima ishiriki michuano ya kimataifa msimu ujao wa CAF, Loga automatically hawezi kuandaa timu ya miaka miwili ijayo tena,lazima aandae timu ya ushindi,,,
Kuna baadhi ya wachezaji amependekeza watolewe kwa mkopo ili wakapate nafasi,hii ni kwa kuwa hawana nafasi kwa kikosi chake tena,hii ni kwa kuwa mchezaji husika ana wakati mgumu kugombea nafasi na wachezaji wa nafasi yake waliopo,,..inabidi waende kwa manufaa yao.
Bahati mbaya kwa wachezaji wa kitanzania hawaelewi maana ya mkopo, wanajua mkopo ni kudharauliwa,wanachujua ni kuchezea Simba SC ndio wamemaliza wakati wana umri mdogo , hapa wanajidanganya.
Nassor Masoud Chollo ambaye ndiye kapteni wa miamba ya soka kwa Tanzania Simba SC yeye anaweza kuwa shahidi, kapteni huyu alitolewa kwa mkopo kuelekea JKT Oljoro,lakini alirudi kwa kishindo na hatimaye akaivaa beji iliyokuwa ikivaliwa na Juma Kaseja.
Binafsi nafikiri Chollo anaweza kuwa mfano sahihi kwa wadogo zake, pia wadogo muulizeni kaka yenu ipi siri ya mafanikio yake,itakuwa bora zaidi.
Mwisho tuache falsafa ya kocha ifanye kazi yake, hakuna kocha anayependa kujiharibia CV yake,,kocha atahukumiwa kwa matokeo mabaya uwanjani kama tu mlimuacha afanye kazi kwa uhuru na si vinginevyo!
PART 2
JONAS MKUDE VS PATRICK LEIWIG
Wakati Patrick Leiwig anakuja Simba SC akitokea ASEC Memosas ya Ivory Coast, alikuta mhimili uliokuwa unaaminiwa na Milovan Cirkovic katika holding midfielder ni Jonas Gerrald Mkude, nini kilifata baada ya kufika kwa Leiwig?
Kilichofata ni kuwaona wachezaji wote, taratiibu alianza kumuingiza Abdallah Seseme Hugo katika dimba la kati, mwisho wa siku Hugo alikuja kuonekana bora kuliko mkude, Mkude akaanza kupotea naa kweli Hugo alifanya kazi yake...laiti Leiwig angeendelea kuwepo ni ukweli ulio thabiti kuwa Jonas Mkude ingekuwa Hadithi tu.
Hii ndio falsafa ya kocha inapofanya kazi,, Loga ameshindwa kufanya kazi na Mombeki ila Kibaden aliweza!!
La kuzingatia ni muhimu wachezaji wakatambua ni aina gani ya kocha kwa manufaa yao ili waweze kubadilika,pia kucheza nafasi nyingi uwanjani inasaidia sana na ndio maana hata siku moja huwezi kuona Willium Lucian Gallas anaguswa kwa wanaotolewa kwa mkopo, unajua kwanini,? kwa sababu anacheza zaidi ya namba 6 uwanjani.
Salaam zao!
Imetolewa na SPS Inc, 0767460011

No comments:
Post a Comment