ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, September 29, 2013

Kiemba apata majeraha, timu kuendelea na mazoezi leo

Kiungo wa Simba Sc Amry Kiemba amepata majeraha katika mguu wake wa kushoto katika mechi iliyochezwa jana dhidi ya JKT ruvu.

Mechi hiyo iliyochezwa jana ilishuhudia timu ya Simba SC ikiididimiza JKT goli 2-0, wakati huohuo timu itaendelea na mazoezi yake ya kawaida leo hii

No comments:

Post a Comment