ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, September 27, 2013

Mpya kupewa kazi ya Baba ubaya kesho


Beki ya Simba SC, imetikisika kwa muda baada ya mchezaji Idrissa Rashid kupata majeraha katika mechi dhidi ya Mbeya City, .
Hii inamaana kwamba baada ya beki na nahodha wa Simba SC, Nassoro Chollo kupata majeraha na Willium Lucian Gallas kupewa nafasi ya kuziba pengo la Chollo, mchezaji aliyabaki kuziba nafasi ya Idrissa Rashid ni Adeyoum Salehe baada ya Miraj Adam kuumia pia.
Adeyoum Salehe aliyesajiliwa msimu huu akitokea Zanzibar, itakuwa mechi yake ya kwanza ya ligi kuu Tanzania bara kama tu mpaka kesho Idrissa Rashid atakuwa hayuko sawa, hii ina maana namba 2 na namba 3 zilizozoeleka zitakuwa jukwaani

No comments:

Post a Comment