ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, September 27, 2013

Chollo aanza mazoezi rasmi

Nahodha wa Simba SC, leo ameanza mazoezi rasmi ya kujiandaa na mechi ya ligi kuu Tanzania bara dhidi ya JKT Ruvu hapo kesho.
Chollo alikuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa baada ya kupata majeruhi katika mechi ya muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara.

Mechi iliyopita ya kirafiki, Simba ilishuhudia kuongezeka kwa majeruhi mwingine Idrissa Rashid ambaye ana nafasi finyu ya kuanza hapo kesho.

No comments:

Post a Comment