ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, September 29, 2013

Tambwe, Singano waifanyia kitu mbaya JKT RUVU

Wachezaji wawili wa kutumainiwa wa SIMBA SC, Amissi Tambwe, na Ramadhani Singano, leo wamedhihirisha ubora wao baada ya kupachika bao moja kila mmoja na kuiwezesha timu ya Simba kuondoka na pointi 3 muhimu kwa ushindi wa goli 2-0, haikuwa kazi rahisi kwani timu ya JKT ilionesha ushindani wa hali ya juu kwa dk zote 90 za mchezo.
Hii inamaana SIMBA SC inazidi kujichimbia kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara baada ya kufikisha pointi 14

No comments:

Post a Comment