ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, October 2, 2013

UJUMBE WA MADAI YA PESA ZA OKWI WATUA FIFA

Timu ya Simba SC,imetuma barua pepe Fifa kudai pesa za mauzo ya mshambuliaji wa zamani Emanuel Okwi.
Tumeshatuma barua pepe Fifa na tunachosubiri ni majibu toka kwao iliongeza taarifa hiyo.

Wakati huohuo, timu itaendelea na mazoezi leo hii katika fukwe za Bamba beach kujiwinda na mechi dhidi ya Ruvu Shooting itakayopigwa siku ya jumamosi,huku ikishuhudia muendelezo wa hali nzuri ya kiafya ya beki wake wa kushoto Idrissa Rashid .

No comments:

Post a Comment