ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, November 28, 2013

BREAKING NEWSSSSSS, BERKO KUWASILI KESHO

Goli kipa raia wa Ghana aliyekuwa akichezea timu ya Yanga Fc Yaw Berko, anatarajia kuwasili kesho kwa ajili ya kujiunga na timu ya Simba sc.

Kipa huyo ambaye ni mrefu kwa umbo, anatarajia kuchukua mikoba ya Abel Dhaira ambaye yupo mbiono kusitishiwa mkataba wake na Klabu hiyo.

Kabla ya kuja Simba, Berko amewahi kuchezea timu za Liberty Professional ya nchi ni Kwao Ghana, na timu ya soka ya Dar Young Africans ya nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment