ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, November 25, 2013

GALLAS AANZA MAZOEZI RASMI

Chipukizi wa Simba Sc aliye kwenye fomu ya ajabu Willium Lucian maarufu Kama Gallas, ameanza kujiweka fit kwa kuanza mazoezi rasmi ya peke yake.

Kiraka huyo wa Msimbazi, ameamua kuanza mazoezi mapema ili aweze kuendana na kasi ya ligi inayotegemewa kuanza mwezi Januari.

Wakati huo huo, Basi la timu ya Simba aina ya Youtong limekamatwa na Kampuni ya MEM kwa Madai ya kudaiwa zaidi ya milioni 35.

No comments:

Post a Comment