ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, November 19, 2013

ZDRAVKO LOGARUSIC KOCHA MPYA SIMBA Sc

Kocha wa zamani wa Gormahia ya Kenya Zdravko Logarusic Ndiye kocha mpya wa Simba Sc.

Kamati ya utendaji imempendekeza raia huyo wa Croatia kuchukua nafasi ya Kibaden baada ya mzawa huyo kutimuliwa Simba Sc!

No comments:

Post a Comment