ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, November 19, 2013

Breaking Newsssss, Joseph Itang'are ateuliwa kuwa mwenyekiti mpya Simba Sc

Aliyekuwa makamo mwenyekiti wa Simba Sc, Joseph Itang'are ameteuliwa rasmi kurithi mikoba ya Ismail Rage aliyetimuliwa

Wakati Huohuo, mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba Sc Swed Mkwabi atakuwa makamo mwenyekiti mpya.

No comments:

Post a Comment