ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, January 23, 2014

SIMBA KUINGIA KAMBINI KESHO

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi , Simba Sc kesho kinatarajiwa kuingia kambini Vinna Hotel tayari kabisa kwa mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara.

Kikiwa na jeshi dogo baada ya mchujo wa wachezaji takriban nane, Simba Sc inatarajia kupeleka makali yake hayo hapo tayari kabisa kwa kuchukua Kombe la ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara.

Wakati huo huo , SPS best performance player of the year inatarajiwa kufanyika ijumaa hii majira ya usiku!

No comments:

Post a Comment