ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, February 3, 2014

CHELSEA YAIUA MAN CITY


UCHAMBUZI wa haraka ni kwamba, Chelsea imeziweka wazi mno mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England, kufuatia ushindi wake wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Manchester City, Uwanja wa Etihad usiku huu.
Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee Ivanovic dakika ya 32 na sasa Chelsea inatimiza pointi 53 sawa na Manchester City iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi kwa wastani wake mzuri wa mabao.
Matokeo hayo yanakuwa faraja zaidi kwa Arsenal ambayo sasa inatuliza roho kileleni mwa Ligi Kuu kwa pointi zake 55, baada ya timu zote hizo kucheza mechi 24.

Tumewashikisha adabu: Ivanovic akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao pekee la ushindi usiku huu
Park the bus? Not me: Mourinho looks happy with his team's effort as Manuel Pellegrini shouts orders
Kupaki basi? Siyo mimi: Mourinho akionekana mwenye furaha na matokeo ya timu yake,huku Manuel Pellegrini akifoka
Eyes wide shut: Manchester City's Edin Dzeko and Chelsea's Nemanja Matic fight for the ball
Edin Dzeko wa City na Nemanja Matic wa Chelsea
Boot it away: Petr Cech and Gary Cahill
try and clear the ball before Alvaro Negredo can get to it
Kipa Petr Cech na beki wake Gary Cahill wakijaribu kuondosha mpira hatarini kabla Alvaro Negredo hajaupata
Fight for the ball: City's Martin Demichelis competes with Eden Hazard for the ball

Martin Demichelis na Eden Hazard 
Close, but not close enough: David Silva sees his effort go agonisingly wide
David Silva alipiga nje hapa
Close ball control: Hazard gets the better of both Pablo Zabaleta and Demichelis

Hazard akiwatoka Pablo Zabaleta na Demichelis
Winding runs: Hazard was a threat for Chelsea all evening

No comments:

Post a Comment