ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, August 24, 2014

MKUDE KUANZA MAZOEZI SEPTEMBA

Kiungo cha kati cha Simba SC Jonas Gerrald Mkude anatarajiwa kuanza mazoezi rasmi mwezi septemba.
Akiongea na SPS blog, Mkude amesema kuwa hali yake inaendelea vizuri ukilinganisha na siku kadhaa zilizopita."Ni kweli niko vizuri, natarajia kuanza mazoezi Septemba na naamini nitakuwa vizuri zaidi" aliongeza Jonas.

Mkude aliumia wakati akiwa na timu ya taifa ya Tanzania jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment