ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, August 21, 2014

PHIRI ACHEKELEA KUANZIA DAR ES SALAAM DHIDI YA COASTAL UNION

Kocha mkuu wa Simba SC Patrick Phiri, amesema kuwa imekuwa vizuri zaidi kwa kikosi chake kuanzia jijini Dar es Salaam katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Coastal Union.

Akiongea baada ya kupata taarifa ya ratiba nzima ya ligi kuu Tanzania bara, Phiri amesema kikosi chake kinaiva vizuri ingawa kuna kasoro ndogondogo zinazohitaji kurekebishwa haraka." Ndio ratiba nimejulishwa,inapendeza na nimefurahishwa na hilo" aliongeza Phiri baada ya kuulizwa anaionaje ratiba ya ligi kuu Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment