ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, August 21, 2014

MADRID KUANZA KUTUA TANZANIA LEO

Kikosi cha wakongwe wa timu ya soka ya Real Madrid kinatarajiwa kuanza kutua leo hii kikiongozwa na Luis Figo.

Wachezaji watatu watakaoanza kukanyaga ardhi ya Tanzania leo ni Luis Figo, Michael Owen na Christian Karembeu.

Kikosin hicho cha Los Brancos wa zamani,kinatarajiwa kuoneshana kazi na wachezaji wa zamani wa Tanzania kesho kutwa katika uwanja wa taifa.

No comments:

Post a Comment