Baada ya kutangazwa kwa nafasi kadhaa za kuajiriwa na Mheshimiwa makamo wa Rais wa Simba SC Geofrey Nyange Kaburu, wadau wachache wamejitokeza kuwania nafasi hizo.
Uchunguzi uliofanywa na SPS kwa kipindi cha zaidi ya wiki moja sasa, inaonesha wadau wengi wameshindwa kupeleka maombi yao kwa kutokidhi vigezo vilivyowekwa.
Nafasi ambazo zipo wazi mpaka sasa, ni Katibu mkuu, Afisa habari, Katibu Muhtasi pamoja na Bw fedha.
No comments:
Post a Comment