ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, October 9, 2014

ORLANDO PIRATES KUIJARIBU SIMBA SC JUMAMOSI

Kkosi cha Simba SC kinatarajiwa kuivaa timu ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini katika mchezo wa kujipima nguvu unaosubiriwa kwa hamu.

Simba SC imewasili nchini Afrika ya kusini tayari kabisa kujiwinda na mechi zilizobaki za ligi kuu Tanzania bara baada ya mwanzo ambao si wa kuridhisha.

No comments:

Post a Comment