ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, December 29, 2014

ANCELOTI ASEMA ATATETEA UBINGWA WA ULAYA


Kocha Carlo Ancelotti wa Real Madrid amesema timu yake ina nafasi ya kutetea ubingwa wa Ulaya, lakini akaonya.

Ancelotti raia wa Italia amesema Madrid ina kikosi bora na imara, lakini haiwezi kuwa kila kitu kwao kubeba ubingwa.

“Tuna wachezaji bora wanaofanya tuwe na kikosi bora. Lakini muhimu sana ni suala la ushirikiano na tunakwenda vipi.


“Kushinda tena inawezekana, lakini haitakuwa kazi lahisi na tunajua lazima tupambane. Kila mechi ni uwanja mpya wa mapambano,” alisema.



No comments:

Post a Comment