ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, December 29, 2014

SIMBA KUTUA ZANZIBAR KESHO,PHIRI AKUNA KICHWA

Kikosi Cha Simba Sc kesho kinatarajiwa kutua visiwani Zanzibar tayari kabisa kwa michuano ya kombe la Mapinduzi,'.

Wakati huo huo, kocha wa wekundu Hao wa msimbazi huenda akafanya mabadiliko kwenye kikosi chake ili aweze kuendana na kasi ya vikosi vingine.

No comments:

Post a Comment