ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, December 30, 2014

GORAN KUTUA KESHO

Kocha mpya wa Simba Sc Goran Kopunovic anatarajia kutua kesho asubuhi,tayari kabisa kusaini mkataba wa kuifundisha Simba Sc.

Mtihani wa kwanza wa kocha huyo wa zamani wa Polisi ya Rwanda utakuwa katika michuano ya Mapinduzi!!

No comments:

Post a Comment