ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, December 30, 2014

SIMBA KUTUA ZANZIBAR KESHO

Kikosi Cha Simba Sc kesho kinatarajiwa kutua visiwani Zanzibar tayari kabisa kwa michuano ya Mapinduzi !

Ikumbukwe kuwa Simba itafungua dimba dhidi ya Mtibwa ijumaa hii.

No comments:

Post a Comment