ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, January 12, 2015

SIMBA YATINGA FAINALI MAPINDUZI CUP

Kikosi cha Simba Sc leo kimedhihirisha ubora wake baada Ya kutinga fainali katika michuano Ya kombe la Mapinduzi .

Shukrani za kipekee kwa goli la Ramadhan Singano, ambalo limeivusha timu hiyo Na kwenda kukutana Na Mtibwa Sugar.

Wakati huo huo , kiungo wa Simba Sc Emanuel Okwi tayari yuko visiwani ZANZIBAR, kujiwinda Na pambano la fainali!

No comments:

Post a Comment