ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Saturday, September 28, 2013

Jonas Mkude, Henry Joseph, Idrissa Rashid kuukosa mchezo wa kesho, Mombeki arudi kambini kujiandda na mechi dhidi ya JKT RUVU

Mchezaji aliyeripotiwa kuondoka kambini kwenda kwenye msiba wa bibi yake Bentram Mombeki, amejiunga na wachezaji wenzake katika kambi ya Bamba beach, kujiandaa na mechi dhidi ya JKT Ruvu, hii ina maana Mombeki anaweza kuanza na Tambwe katika mechi itakayopigwa kesho saa 10:00 jioni.
Wakati huohuo, Simba itawakosa wachezaji Henry Joseph, na Idrissa Rashid ambao wana majeraha huku kiungo wake maridhawa Jonas Mkude akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Simba SC keshi inashuka dimbani ikiwa na kumbukumbu yakutoa sare na timu ngumu iliyopanda daraja msimu huu ya Mbeya City

No comments:

Post a Comment