ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, November 17, 2013

Ally Badru, Awadh Juma wasaini Simba Sc

Timu ya soka ya Simba Sc, Leo imewasainisha wachezaji wawili wa timu ya taifa ya Zanzibar!

Wachezaji hao ni kiungo maestro wa mtibwa sugar Awadh Juma na Striker Ally Badru aliyekuwa anachezea Suez Cannary Ya Misri.

Wachezaji hao wamesainishwa nyumbani kwa mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage Huku ikishuhudiwa na karibu mkuu wa Simba Evodus Mtawala.

No comments:

Post a Comment