ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, November 15, 2013

NDEMLA , MGETA, ABOU KUWAONGOZA WENZAO DHIDI YA JKT OLJORO KESHO KUTWA

Wachezaji wanaong'ara kwa Sasa Simba Sc wakitokea Simba B , Said Ndemls, Emilly Mgeta,Abou Hashim wanatarajiwa kuongoza mauaji ya Jkt Oljoro kesho kutwa katika uwanja wa Karume .

Mechi hiyo ya ufunguzi wa michuano ya UHAI CUP itajumuisha timu zote za vikosi vya pili vya timu zote za ligi kuu Tanzania bara.
Majeruhi yakiyowaweka nje Miraji Adam na Ibrahim Twaha Messi, yatasababisha wachezaji hao wawili wakose michuano hiyo Huku kocha wa timu ya Simba Selemani Matola akiahidi timu yake kufanya mazuri katika michuano hiyo!

No comments:

Post a Comment