ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Saturday, November 30, 2013

Breaking Newssss, Kocha mpya Simba atua rasmi Tanzania

Kocha aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu na wanaSimba Zdravko Lugarusic , ametua Leo Asubuhi kwa ndege ya Shirika la Kenya, tayari kabisa kukinoa kikosi cha Simba Sc.

Raia huyo wa Crotia, anatarajia kuanza rasmi kazi kesho, baada ya kusaini mkataba wa Miezi Sita Leo hii.

Huyu anakuwa kocha wa pili kwa msimu huu, baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha wa Simba Sc Abdallah Kibaden

No comments:

Post a Comment